MAKONDA AAMURU OCD BUGURUNI APANGIWE KAZI NYINGINE, WANANCHI WASHANGILIA

Описание к видео MAKONDA AAMURU OCD BUGURUNI APANGIWE KAZI NYINGINE, WANANCHI WASHANGILIA

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul makonda ameagiza kupangiwa kazi nyingine kwa mkuu wa kituo cha Buguruni Englibert Kasikana mara baada ya kutokea vuta nikuvute kwenye mkutano wake uliofanyika leo oktoba 25 katika eneo la buguruni.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке