Tanzania kuwekeza kwenye zao la Alizeti

Описание к видео Tanzania kuwekeza kwenye zao la Alizeti

Serikali ya Tanzania imeanza kuwekeza kwenye zao la Alizeti ili kuimarisha uzalishaji wa ndani na kukabiliana na uhaba wa mafuta ya kupikia kutokana na changamoto mbalimbali ikiwemo janga la Corona na Vita Vvya Urusi na Ukraine

Mkoa wa Dodoma unategemewa zaidi katika uzalishaji wa mafuta ya alizeti, mwandishi wa BBC Humphrey Mgonja akiwa mkoani humo ameandaa taarifa hii.

#bbcswahili #tanzania #dodoma

Комментарии

Информация по комментариям в разработке