Rigathi Gachagua asema maafisa katika wizara ya usalama wanahujumu vita dhidi ya pombe haramu

Описание к видео Rigathi Gachagua asema maafisa katika wizara ya usalama wanahujumu vita dhidi ya pombe haramu

Naibu Rais Rigathi Gachagua sasa anasema kuwa maafisa wakuu katika wizara ya usalama wameanza kuwatumia wanasiasa kuhujumu vita dhidi ya pombe na dawa za kulevya nchini. Gachagua akisema yuko tayari kujiondoa kwenye uongozi wa vita hivi na jukumu hili kukabidhiwa mtu mwingine. Na kama Kamau Mwangi anavyoarifu, Gachagua sasa akimtaka rais William Ruto kuwa makini na watu anaosema wanataka afeli

Комментарии

Информация по комментариям в разработке