Mchezo wa Draft | Pattern ya Major Game 2 - Jumaa vs Six Number fainali | Zero Masters

Описание к видео Mchezo wa Draft | Pattern ya Major Game 2 - Jumaa vs Six Number fainali | Zero Masters

Fuatilia fainali kali ya michezo minane kwa pattern ya Major michezo minne, pattern ya Pasati michezo minne. Mchezo wa draft ni mchezo pendwa sana kwa vijana wa rika zote. Fuatilia michezo hii ambayo tunaendelea kukuwekea. Hii ni fainali kati ya Jumaa na Six Number. Ni katika ngazi ya fainali, pattern au Variety au k opi ya Major.

Part 5 hii hapa, ikichezwa kwa pattern ya Mabinyo, Mabano ...
   • Mchezo wa Draft | Pattern ya Major Ga...  

Jiunge na channel hii
   / @zeromasters  

Mchezo wa draft Tanzania, copy zote za draft
Mabano, mabinyo, samba mbovu, pasati, nugza, pandu, mkanda wa ubungo, taa treni, major kubwa, turbo, manyanya, kinondoni, dodoma, bingwa, mabingwa, madanali, kata mara mbili na nyingine nyingi..

#Mchezo #WaDraftTanzania #ZeroMastersTanzania

Комментарии

Информация по комментариям в разработке