Askari wa magereza aachishwa kazi baada ya kuandamana

Описание к видео Askari wa magereza aachishwa kazi baada ya kuandamana

Afisa wa magereza aliyenaswa akishiriki maandamano dhidi ya serikali amesimamishwa kazi kwa muda usiojulikana. Kwenye barua aliyooandikiwa na gereza la kamiti jackson kuria kihara, anasemekana kukosa adhabu na kuenda kinyume na kanuni za idara ya magereza.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке