Kipyegon, Omanyala wajiunga kwenye kikosi cha wanariadha watakaowakilisha Kenya kwenye Olimpiki

Описание к видео Kipyegon, Omanyala wajiunga kwenye kikosi cha wanariadha watakaowakilisha Kenya kwenye Olimpiki

Mshikilizi wa rekodi ya dunia kwenye mbio za mita 1500 Faith Kipyegon, mwenzake wa mita 10,000 Beatrice Chebet na mwanariadha mwenye kasi Afrika Ferdinand Omanyala wamejiunga na wanariadha wengine 32 walioteuliwa kuwakilisha Kenya kwenye mchuano wa Olimpiki mwaka huu jijini Paris ufaransa mwezi Julai.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке