SINGIDA BIG DAY 2024 | Utambulisho wa wachezaji wote Singida Black Stars; Wamo Guede na Metacha

Описание к видео SINGIDA BIG DAY 2024 | Utambulisho wa wachezaji wote Singida Black Stars; Wamo Guede na Metacha

Hivi ndivyo Maulid Kitenge alivyoongoza kazi ya kuwatambulisha wachezaji wote wa Singida Black Stars waliosajiliwa kwa ajili ya msimu wa 2024/25.

Shughuli hii imefanyika Agost 10, 2024 katika tamasha la Singida Big Day kwenye Uwanja wa Liti, Singida

#SingidaBigDay #SingidaBlackStars

Комментарии

Информация по комментариям в разработке