Hali ya mshike mshike Tsavo Mashariki baada ya maafisa KWS na wafugaji kupigana

Описание к видео Hali ya mshike mshike Tsavo Mashariki baada ya maafisa KWS na wafugaji kupigana

Hali ya mshike mshike inanukia kati ya maafisa walinda wanyama pori, KWS, kwenye mbuga ya wanyama ya Tsavo Mashariki, hii ni baada ya makabiliano makali baina ya maafisa ho na wafugaji kutoka eneo bunge la Garsen kupelekea kifo cha mzee mmoja.

Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Комментарии

Информация по комментариям в разработке