Rais William Ruto asisitiza ataendelea kutoa fedha kanisani

Описание к видео Rais William Ruto asisitiza ataendelea kutoa fedha kanisani

Rais William Ruto amesema kuwa ataendelea kutoa matoleo kanisani hata baada ya kanisa katoliki eneo la Soweto kukataa msaada wake wiki iliyopita. Rais Ruto aliyehudhuria ibada katika kaunti ya Kericho, amesema matoleo kanisani hayana kasoro akiongeza kuwa mfuko wake hautabanwa na yeyote. Haya yanajiri huku naibu wake Kithure Kindiki akiendelea kutetea bima ya sha huko marsabit.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке