Rais Uhuru Kenyatta ajitokeza kama Rais aliyejikakamua kuonyesha kuwa bado angali mamlakani

Описание к видео Rais Uhuru Kenyatta ajitokeza kama Rais aliyejikakamua kuonyesha kuwa bado angali mamlakani

Kwa wiki moja iliyopita sasa Rais Uhuru Kenyatta amekuwa akijitahidi kuonyesha kuwa ushawishi wake wa kisiasa haujadidimia huku zikiwa zimesalia siku 24 kabla ya uchaguzi mkuu mwaka huu. Kutoka kwa kuchukua hatua ya kumsimamisha kazi Naibu Chansella wa Chuo Kikuu cha Kenyatta hadi kumshambulia naibu wake William Ruto hadharani na vile vile kumpigia debe mwaniaji wa urais wa Azimio la Umoja Raila Odinga, Rais Uhuru Kenyatta amejitokeza kama rais aliyejikakamua kuonyesha kuwa bado angali mamlakani na atachukua maamuzi anayotaka bila kujali wanachosema mahasimu wake wa kisiasa.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке