NMB NONDO ZA PESA

Описание к видео NMB NONDO ZA PESA

Nondo ni nyingi, na tupo tayari kukuletea popote ulipo!

Kupitia Programu yetu ya "Nondo za Pesa" inayolenga kutoa elimu ya fedha kwa umma wa Watanzania na kuwasilisha dondoo muhimu na zenye tija juu ya masuala ya pesa, utapata madini yote kuhusu:

➡️ Kupanga Bajeti
➡️ Kuweka Akiba
➡️ Uwekezaji wa Pesa
➡️ Elimu ya Mikopo
➡️ Huduma za Bima

Madini haya yote utayapata kupitia chaneli yetu ya Youtube, Iroc TV na televisheni.

#Tumekupata #NondoZaPesa #NMBKaribuYako

Комментарии

Информация по комментариям в разработке