Geah Habib kaifuatilia ishu ya mwanaume anayedaiwa kuwarubuni watoto na kuwabaka

Описание к видео Geah Habib kaifuatilia ishu ya mwanaume anayedaiwa kuwarubuni watoto na kuwabaka

Hekaheka ya Leo Tena ya Clouds FM leo July 31, 2017 imetokea Mivumoni ambako inadaiwa mtu mmoja amekuwa akiwalaghai watoto wa kike na kiume kwa kuwapa pesa na kuwapandisha kwenye Bajaj kisha huwabaka.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке