Miaka miwili ya uongozi wa Rais Ruto

Описание к видео Miaka miwili ya uongozi wa Rais Ruto

Rais William Ruto anakamilisha miaka miwili tangu kuapishwa kama rais akiwa safarini nchini ujerumani kwa ziara rasmi ya siku mbili. Ruto ametia saini mkataba wa makubaliano wa kutoa nafasi za ajira kwa wakenya nchini humo.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке