Tamasha ya kusherehekea utamaduni wa makabila mbalimbali kaunti ya Uasin Gishu yang'oa nanga

Описание к видео Tamasha ya kusherehekea utamaduni wa makabila mbalimbali kaunti ya Uasin Gishu yang'oa nanga

Tamasha ya kusherehekea utamaduni wa makabila mbalimbali yanayoishi kaunti ya Uasin Gishu imeng'oa nanga. Gavana wa kaunti hiyo Jonathan Bii anasema kuwa kuna haja ya kulinda mila na desturi za makabila yote kwani ni vivutio vya utalii. Pia amewataka wakazi wote kupenda utamaduni wao na kuishi kwa amani bila kugawanywa na ukabila wala siasa.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке