UMENIBARIKI BWANA[OFFICIAL VIDEO]

Описание к видео UMENIBARIKI BWANA[OFFICIAL VIDEO]

Kwaya ya Mtakatifu Veronica - Kigango cha Ijitu Parokia ya Ilumya [Masanza Kona]
Jimbo katoliki la Shinyanga wanapenda kutukaribisha kusikiliza na kutazama wimbo huu unaitwa UMENIBARIKI BWANA, utunzi wake M.D. Matonange

Wimbo huu Mpya upo miongoni mwa nyimbo nyingine kumi katika Album yao itakayokujia hivi karibuni.

Kazi hii imerekodiwa katika studio za DADY PRODUCTIONS
_Sound Engineer: Dady Rutta
_Video Shot & Directed By Dady Rutta

Contact DADY Productions for booking
[email protected]
+255 745 260 131/+255 715 068 534

#neemayamungu #mbeleyamiungu #neemayamungu #umenibarikibwana

Комментарии

Информация по комментариям в разработке