Tunza kumbukumbu ya simu yako ili namba zako za simu, picha, videos zisipotee "Backup" [2019]

Описание к видео Tunza kumbukumbu ya simu yako ili namba zako za simu, picha, videos zisipotee "Backup" [2019]

Habari, Leo tunaenda kuangalia jinsi ya kubackup / kutunza kumbukumbu ya ducument zako kama namba za simu, picha na video ili zisipotee.

Hivyo basi tutakwenda kutumia application kutoka google inayoitwa google drive na google photo ili kuweza kufanya backups.

Google drive - inakupa 15gb kwaajili ya kutunza information zako. Kwenye google drive unaweza kutunza mafile, picha na video.

Google Photo - inakupa unlimited/ isiyo na kikomo. Unaweza kutunza picha na videos tu ila zinakuwa katika high quality na resolution kubwa.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке