TEMBEA NASI || SALEM CHOIR GISENYI (Official Music Video)

Описание к видео TEMBEA NASI || SALEM CHOIR GISENYI (Official Music Video)

Official Music video of "TEMBEA NASI" Ya SALEM CHOIR GISENYI Wifuza Kutuvugisha Kumpamvu Zitandukanye waduhamagara cyangwa ukatwandikira
Tel: +250788337891
+250788863631
Email: [email protected]
Instagram: salem Choir gisenyi

Facebook: SALEM CHOIR GISENYI

(TEMBEA NASI)

VIDEO DIR.: Musinga
VID. EDITOR: Brilliance
AUDIO REC. & PROD: LEOPOLD & VINCENT

MUSIC BAND:
Drums: Mugisha
Piano 1: Leopold
Piano 2: Aman
Bass: Ishimwe
Solo Guitar:Gad
Music Arrangements:Aman&Fab

LYRICS (& Translation):

TEMBEA NASI

1.Mimi si Kitu BilaWewe Baba
( I'm Nothing Without You Father)

Naomba Ukae Nami
(Please Stay With Me)

Mimi Siwezi Bila Wewe Baba
( I Can't do Anything Without you Father)

Naomba Uniwezeshe.
(Please Help Me)

Chorus:Tembea,Tembea Nasi
(Walk Walk With Us)
Kaa , kaa Nasi
(Stay, Stay With Us)

Twakuinulia mikonoo
(We raised Our hands)

twakupa utukufu
(And gave you Glory)

2.Baba Mimi ni mnyonge Baba Mimi siwezi chochote
(Father, I am weak, Father, I can't do anything)

Naitaji msaada wako
(I Need Your Help)

Baba yoo naomba uniwezeshe
(Father Please Help Me)×4

Baba wana wa Israel
(The Father of the sons of Israel)
Ulitembea nao
(You walked with them)
hadi kutoka Misri
(Until From Egypt)

jangwani ukawali baba yoo
(In the desert you ruled the Father)

naomba ukae Nasi
(Please Stay With Us)

Ulitembea na David
(You walked with David)

Alikuwa mchungaji wa kondoo mustuni
(He was a shepherd of sheep in the forest)

Ukamfanya kuwa mfalme
(You Made Him King)

Wa taifa lakoo Baba tembea nasi

(Of your nation, Father, walk with Us)

Tembea,Tembea Nasi
Walk Walk With Us)
Kaa , kaa Nasi
(Stay, Stay With Us

Twakuinulia mikonoo
(We raised Our hands)

twakupa utukufu
(And gave you Glory


Murakoze
Tugeze ubutumwa kure Hashoboka

Комментарии

Информация по комментариям в разработке