RC Kunenge ajitambulisha Chalinze || alia na kiwango cha ufaulu || Ridhiwani amkabidhi madawati 390

Описание к видео RC Kunenge ajitambulisha Chalinze || alia na kiwango cha ufaulu || Ridhiwani amkabidhi madawati 390

Mkuu wa mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge ametoa agizo kwa watendaji na maofisa wa wilaya ya Chalinze kutafuta mwaorbaini wa ufaulu duni katika wilaya hiyo.

Kunenge amesema hayo mei 27 alipofanya ziara ya kujitambulisha kwa watumishi, madiwani na kamati ya ulinzi na usalama ya Chalinze ambo pia Ridhiwani alitumia fursa hiyo kumkabidhi madawati 390 ya thamani ya sh. Mil.30 ya shule za sekondari 13 msaada utakaowezesha kupunguza uhaba uliopo na kuongeza ufaulu zaidi.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке