Nyimbo za Kristo || 062 - Napenda Kitabu Chake ||

Описание к видео Nyimbo za Kristo || 062 - Napenda Kitabu Chake ||

#jaajmedia #nyimbozakristo #sda

062-Napenda Kitabu Chake
I Love The Sacred Book

Napenda kitabu chake, Kilichotoka mbinguni,
Barua kwangu ya Bwana Ujumbe wake wa 'pendo

Humo ndani ya Kitabu sura ya Yesu naona;
Karatasi zimekuwa, Wayo zake za Mwongozi

Neno Lake ni maonji, Kubwe la asali tamu; mu;
Natamani kuuonja Ule mkate wa uzima.

Mapenzi yake Mwumbaji, Yanafunuliwa humo;
Hazina kuu ya hekima, Utajiri wa ajabu.

Mwangaza wa ulimwengu Angaza humo moyoni!
Uwe mwandamizi pote, Taa ya hatua zangu.


Powered by Jaaj Media

Комментарии

Информация по комментариям в разработке