UKIONDOKEWA NA MAMA MZAZI BASI MTUMIE NDUGU YAKO HUYU KUZIBA PENGO | SIO BABA | SHEIKH OTHMAN MAALIM

Описание к видео UKIONDOKEWA NA MAMA MZAZI BASI MTUMIE NDUGU YAKO HUYU KUZIBA PENGO | SIO BABA | SHEIKH OTHMAN MAALIM

Hakika hakuacha kitu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) katika kutupa njia mbadala za kufuata ili watu wake tuwe ni wenye kufaulu hapa Duniani na kesho Akhera.

Sheikh Othman Maalim anatufundisha na kutuhadithia umuhimu wa Mama zetu Wadogo (Haloo). Hawa wengi wetu tumewasahau, tunawadharau ama kuwapuuza aidha kwa kutokujua umuhimu wao ama kwa kiburi.

Usimchukulie poa Mama mdogo.

Follow Us On:

FACEBOOK:
  / aqonlinetv  
INSTAGRAM:
  / aqonlinetv  
TWITTER:
  / aqonlinetv  
WHATSAPP:
https://chat.whatsapp.com/LTkso2pn287...
TIKTOK:
https://vm.tiktok.com/ZSJKAVXxK/
TELEGRAM:
https://t.me/aqonlinetv

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕
Video by: Said Salim Matango (Allah amsamehe na kumrehemu ndugu yetu huyu)
Originaly produced: Ramadhan 2023
Source channel:    / @said7able  


#aqupdates #zanzibar #allahuakbar #allah #africa #mawaidha #trending #viral #dhulhijja #mawaidhamapya #sheikhkishki #othmanmaalim #ukumbusho #wasafitv #milardayotv #habari #globaltvonline #africatv #tvimaan #mahasintv

Комментарии

Информация по комментариям в разработке