Mswada wa kumtimua Naibu Rais umepangiwa kuwasilishwa bungeni leo

Описание к видео Mswada wa kumtimua Naibu Rais umepangiwa kuwasilishwa bungeni leo

Mswada wa kumtimua naibu rais Rigathi Gachagua umepangiwa kuwasilishwa bungeni leo alasiri baada ya mahakama kudinda kusitisha hatua hiyo kufanyika. Huku masaibu yakizidi kumwandama Gachagua, muungano wa wawakilishi wa kike wametangaza kuunga mkono kutimuliwa kwa Gachagua

Комментарии

Информация по комментариям в разработке