Viongozi wa ODM waunga mkono kauli ya Raila ya kuwataka wakenya kukumbatia mazungumzo

Описание к видео Viongozi wa ODM waunga mkono kauli ya Raila ya kuwataka wakenya kukumbatia mazungumzo

Baadhi ya viongozi wa chama cha ODM kutoka Nyanza wameunga mkono kauli ya kinara wa Azimio Raila Odinga kuwataka wananchi wakumbatie mazungumzo ya kitaifa yanayolenga kushirikisha watu 150 kutoka sekta mbalimbali wakiwemo vijana. viongozi hao wanasema kuw amasuala ambayo vijana wanapigania yatatuliwe ni yale yale ambayo viongozi wa kisiasa na hasa wa upinzani wamekuwa wakiyapigania.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке