MTANZANIA ALETA MITAMBO YA UFUGAJI NA KILIMO TOKA CHINA "HATA UWE UNAFUGA KUKU WATANO"

Описание к видео MTANZANIA ALETA MITAMBO YA UFUGAJI NA KILIMO TOKA CHINA "HATA UWE UNAFUGA KUKU WATANO"

Hii iwafikie enyi nyote wenye ndoto za kufuga kuku kwa kutumia mitambo ya kisasa, kutengeneza machinjio ya kisasa au hata kufanya kilimo kisasa, leo naitambulisha kwako Kampuni ya Kitanzania ya AFI GREEN iliyoanzishwa na Malkia wa Nguvu Najma Ghani kwa kushirikiana na Mwanzilisha mwenza ambayo imejikita kuleta mapinduzi ya kiteknolojia katika ufugaji wa kuku na kilimo Nchini Tanzania.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке