Zaidi ta watu watano wamefariki kufuatia mzozo wa migodi Moyale

Описание к видео Zaidi ta watu watano wamefariki kufuatia mzozo wa migodi Moyale

Zaidi ta watu watano wamethibitishwa kufariki katika eneo la illo kaunti ya Marsabit kufuatia mzozo wa maeneo ya kuchimba migodi. Taharuki imeendelea kutanda huku wakazi wakihama maeneo hayo kwa kuhofia usalama wao. Migodi ya illo katika eneo la dabel imevutia zaidi ya watu 30,000 wa kutoka maeneo mbalimbali yakiwemo meru, migori na hata nchi jirani ya Ethiopia, wakipiga kambi kutafuta riziki.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке