Familia zimewachwa bila makao kufuatia ubomoaji eneo la Nyama Villa, Kayole

Описание к видео Familia zimewachwa bila makao kufuatia ubomoaji eneo la Nyama Villa, Kayole

Familia kadhaa katika eneo la Kayole hapa Nairobi zitalala nje usiku huu baada ya nyumba zao kubomolewa
kufuatia vuta nikuvute ya ardhi. Utata huu ukitokana na madai kuwa mfanyabiashara huyo alimiliki ardhi hiyo kinyume na sheria. Japo awali tuliarifu kuwa mzozo huu ulihusisha kaunti ya Nairobi, hakuna kwa njia yoyote ambapo kaunti ilihusika na mzozo. Ode Francis anaarifu zaidi

Комментарии

Информация по комментариям в разработке