WANAOTAKA KUANDAMANA WATAFUTE NJIA NYINGINE.

Описание к видео WANAOTAKA KUANDAMANA WATAFUTE NJIA NYINGINE.

#HABARI: Vyama 13 vya siasa nchini vimewaomba wanasiasa wenzao ambao wamepanga kufanya maandamano sept 23 mwaka huu kuachanna mpango huo na badala yake watumie mbinu nyingine kufikisha ujumbe wao.

Wito huo umetolewa na Katibu Mkuu wa Democratic Party (DP), Abdul Mluya, ambaye ni Mwenyekiti wa Umoja wa Vyama hivyo siasa vilivyokutana jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке