Mtoto wa Nyerere aunga mkono Maandamano

Описание к видео Mtoto wa Nyerere aunga mkono Maandamano

Leo Februari 5, 2024 Mtoto wa Baba wa Taifa Hayati Julius Kambarage Nyerere ameudhuria kikao cha maandalizi ya Maandamano ya Amani yatakayofanyika Februari 27 mwaka huu na kuyaunga mkono.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке