Alichokifanya Prof. Hamo Zanzibar kwenye Wasakatonge Comedy Gala, lazima ucheke

Описание к видео Alichokifanya Prof. Hamo Zanzibar kwenye Wasakatonge Comedy Gala, lazima ucheke

Ilikuwa ni kwenye mkesha wa mwaka mpya 2020 Wasakatonge New Year's Eve Comedy Gala chini ya Azam TV. Profesa Hamo alikuwa sehemu ya wachekeshaji walioipamba show hiyo, na hii ni sehemu tu ya kile alichokifanya. Ni dakika 15 kati ya dakika 28 alizotumia jukwaani.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке