Je una ufahamu mji mkuu wa Mirungi?

Описание к видео Je una ufahamu mji mkuu wa Mirungi?

Mji wa Awwaaday ulioko nchini Ethiopia unatambulika kama mji mkuu wa mirungi kwa kutokana na maelfu ya tani za miraa zinazouzwa. Kati ya dola milioni 1.1 na dola milioni 1.3 za Marekani hutumika katika biashara hiyo ndani ya mji huo kila siku.
#ethiopia #awwaaday #mirungi

Комментарии

Информация по комментариям в разработке