Rigathi Gachagua: Serikali ni ya watu wa Mt Kenya na hatuendi pahali popote

Описание к видео Rigathi Gachagua: Serikali ni ya watu wa Mt Kenya na hatuendi pahali popote

Naibu Rais Rigathi Gachagua amewajibu wabunge ambao wanaodaiwa kutaka kumngatua mamalakani akisema yuko imara katika utawala wa Rais William Ruto na haendi popote.

Akizungumza Jumamosi katika Kaunti ya Kirinyaga, Gachagua aliwaonya viongozi wanaoeneza uvumi huo na kuwataka kukoma kutoa maoni yanayolenga kugawanya nchi.

Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Комментарии

Информация по комментариям в разработке