MENTORSHIP SESSION WITH SHILOLE (Part 1): SIRI KUBWA YA KUFANIKIWA, USIOGOPE KUJARIBU NA KUANZA

Описание к видео MENTORSHIP SESSION WITH SHILOLE (Part 1): SIRI KUBWA YA KUFANIKIWA, USIOGOPE KUJARIBU NA KUANZA

Kupitia mentorship sessions zinazoandaliwa na Smart Genaration kwa vijana,Shilole alipata nafasi ya kushare safari yake ya maisha. Misukosuko, mafanikio, mafunzo na vitu mbalimbali alivyokutana navyo wakati akijijenga kama msanii, na akijenga biashara yake ya shishi food. ambayo bado ni ndogo lakini ana malengo makubwa ya kuikuza.
kupitia hizi anatamani vijana wengine pia wazitambue ndoto zao na waanze kuzitendea kazi

Follow Us on:
Instagram:   / smartgeneration_tz  
Twitter:   / smartgen_tz  
Facebook:   / smartgenerationtanzania  

Комментарии

Информация по комментариям в разработке