#DARSA

Описание к видео #DARSA

Katika Ulimwengu wa sasa Ibada ya Ndoa imekuwa ikichukiwa sana na baadhi ya watu kutokana na Makosa ambayo yamekuwa yakifanywa.

Kupiti Darsa hii tunaenda kuwakumbusha wanawake Juu ya Makosa ambayo yamekuwa yakionekana kawaida kumbe waume wengi hawayapendi na kama hilo literekebishwa basi hakika maisha ya ndoa yatakuwa ya furaha,Amani na Upendo#Ilindendoayakosasa

Endelea kutufuatilia zaidi kupitia mitandao yetu ya Kijamii kwa jina la@Sekunde60zaelimu

Комментарии

Информация по комментариям в разработке