SWAHILI WORSHIP MIX-NONSTOP BY DANIEL SIFUNA || NYIMBO ZA MAOMBI, MOYO WANGU SIFA ZOTE MPE BWANA.

Описание к видео SWAHILI WORSHIP MIX-NONSTOP BY DANIEL SIFUNA || NYIMBO ZA MAOMBI, MOYO WANGU SIFA ZOTE MPE BWANA.

KATIKA NYIMBO HIZI, NI MAOMBI YANGU KWAMBA MUNGU AKUTANE NA HAJA ZA MOYO WAKO.
NA KWA YOTE UNAYOYAPITIA MUNGU AKUPE UWEZO WA KUYAEPUKA. JAPO NI MAZITO NA YA KUUMIZA, VUMILIA NA UJIPE MOYO NA KUAMINI MUNGU KWAMBA ATATENDA , USIAYAOGOPE MANENO NA VITISHO VYA WANADAMU WASIOKUTAKIA MEMA.
MAANA YUPO MUNGU ANAYEKUWAZIA MEMA.

NYIMBO ZA KUKUFARIJI NA KUKUTULIZA MOYO
ILI UENDELEE MBELE NA KUMWANI MUNGU LICHA YA YOTE UNAYOPITIA.
#Alone with God.
#relaxing worship songs
#relaxing Tenzi za rohoni
#Tenzi za rohoni mix
#nyimbo za wokovu mix
#Kenya Tanzania best praise and worship songs
peaceful Tenzi za rohoni
#swahili worship songs
#Daniel Sifuna
Facebook Daniel Sifuna
Tiktok Daniel Sifuna
Instagram Daniel Sifuna
CALL/ SUPPORT 0746298853
GOD BLESS YOU

KWA MAOMBI AU MCHANGO WAKO PIGA SIMU 0746298853
Mungu wa Rehema Awe pamoja nanyi🙏🙏🙏🙏

Комментарии

Информация по комментариям в разработке