Kauli ya Nassor Mazrui kuhusu ACT kuingia SUK

Описание к видео Kauli ya Nassor Mazrui kuhusu ACT kuingia SUK

Mmoja wa wahanga wakubwa wa maovu yaliyofanywa kwenye uchaguzi wa Oktoba 2020, Nassor Mazrui, ametowa kauli hii baada ya uamuzi wa chama chake kukubali kujiunga kwenye serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке