Kijiweni kwa Dereva Bodaboda aliyeuawa "Binti alikuwa anakuja na aliyemuua DUKANI....."

Описание к видео Kijiweni kwa Dereva Bodaboda aliyeuawa "Binti alikuwa anakuja na aliyemuua DUKANI....."

Kufuatia mauaji ya watu wawili Dereva Bodaboda aliyefahamika kwa jina la Dominick Kigula na Mpenzi wake aliyefahamika kwa jina la Ester Shiago waliouwawa eneo la Makulu jijini Dodoma Mwananchi Digital imfika kituo cha Bodaboda ambacho Dereva Bodaboda huyo alikuwa akipaki pikipiki yake ambacho kipo karibu na Duka alilokuwa akiuza Binti aliyeuawa na hapa Dereva wenzake na Dominick Dereva Bodaboda aliyeuawa alikuwa na haya ya kutueleza.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке