Mwanga Wa Akili (Intelligence) Dr.Elie V.D Waminian.

Описание к видео Mwanga Wa Akili (Intelligence) Dr.Elie V.D Waminian.

Uhuru unatosha kwa mtu kuwa na kinga,kumbuka maisha yetu katika maisha yetu yanaanzia katika kufunga tangia upo tumboni kwa mama zetu.Uhuru ni kitu ambacho kila mtu anahitaji ndio maana mtoto akitoka tumboni kwa mama na maanisha akizaliwa anakuwa na uhuru.Kumbuka daima unapompatia mtu uhuru anajisikia furaha,kipendele muhimu hakikisha wewe uwe habari njema kwa watu unaoshi nao ili wawe na uhuru.#ChomozaTv #DrElie #MwangaWaAkili

Комментарии

Информация по комментариям в разработке