Wakulima zaidi ya 5000 wapata elimu ya kilimo cha alizeti Manyara

Описание к видео Wakulima zaidi ya 5000 wapata elimu ya kilimo cha alizeti Manyara

Wakulima 5600 wamepata elimu na hamasa juu ya kilimo cha zao la alizeti mkoani Manyara kufuatia kuwepo kwa uhakika wa soko wa zao hilo linalotajwa kuwa ni mkombozi wa wakulima katika kipindi cha mvua chache.
#AzamTVUpdates #AzamTVApp #AzamNews

Комментарии

Информация по комментариям в разработке