Simba SC 0-1 Yanga SC | Full Highlights | Ngao ya Jamii 25/09/2021

Описание к видео Simba SC 0-1 Yanga SC | Full Highlights | Ngao ya Jamii 25/09/2021

SIMBA VS YANGA: Yanga wameshinda taji la Ngao ya Jamii kwa kuwatandika watani zao Simba bao 1-0 katika mchezo uliopigwa hivi punde kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Goli pekee la Yanga limefungwa na Fiston Mayele dakika ya 12.


Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM:   / azamtvtz  
►INSTAGRAM:   / azamsports2  
►TWITTER:   / azamtvtz  
►FACEBOOK:   / azamtvtz  
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Комментарии

Информация по комментариям в разработке