Pilipili ya maembe | Achari ya maembe |Kutengeza pilipili ya maembe yakukaa kwa muda mrefu sana.

Описание к видео Pilipili ya maembe | Achari ya maembe |Kutengeza pilipili ya maembe yakukaa kwa muda mrefu sana.

#mapishiyapilipili #pilipiliyamaembe #achariyamaembe

Website:rukiaskitchen.com
Instagram: rukias _kitchen
Facebook: Rukias kitchen
Cookpad: Rukias kitchen

Mahitaji:-
Maembe 2
Masala ya unga vijiko 3 vya kula
Chumvi
Kitunguusaumu na tangawizi vijiko 2 vya kula
Pilipili za kijani za kuwasha vijko 2
Uwatu kijiko 1 cha chai
Mbegu za rai kijiko kidogo
Manjano kijiko chakula
Mafuta kikombe nusu + vijiko 3
Maji ya ndimu vijiko 3


English recipe follow the link➡️ Mango pickle | How to make pickle Achar recipe| Spicy mango pickle recipe.    • Mango pickle | How to make pickle Ach...  

For more swahili videos follow ➡️    / @mapishiyazanzibar  

Комментарии

Информация по комментариям в разработке