C.D Primeiro de Agosto 1-3 Simba SC | Highlights | CAF Champions League 09/10/2022

Описание к видео C.D Primeiro de Agosto 1-3 Simba SC | Highlights | CAF Champions League 09/10/2022

Simba SC wameendelea kuwa mwiba ugenini baada ya leo kuitafuna C.D Primeiro de Agosto ya nchini Angola kwa kichapo cha mabao 3-1, mchezo ukipigwa kwenye Uwanja 11 de Novembro

Magoli ya Simba kwenye mchezo huo yamefungwa na Clatous Chama, Israel Mwenda na Moses Phiri huku De Agosto wakipata bao lao pekee kwa penati iliyopigwa na dago.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке