Mapishi ya fried rice ya haraka haraka - Simple and quick fried rice recipe

Описание к видео Mapishi ya fried rice ya haraka haraka - Simple and quick fried rice recipe

ingredients
2-3 cups cooked and chilled rice
cooked and chopped chicken
mixed vegetables
2-3 beaten eggs
1 medium chopped onion
1 tbsp fresh ginger
mixed papers
salt to taste
3 tbsp dark soy sauce
3 tbsp oil for cooking/frying

______________ shuna's kitchen

wali uliopikwa na mbaridi vikombe 2 - 3
kuku alopikwa mkate kate kiasi
mchanganyiko wa mboga mboga
mayai 2 - 3 yachanganye
kitunguu maji 1
tangawizi mbichi
pilipili hoho/boga mchanganyiko
chumvi kiasi
soy sauce (ilokoza) vijko 3
mafuta ya kupikia

_________shuna's kitchen.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке