Zingatia Sana Freepik Guidlines to Start Earning Money - Step by Step [ in Swahili ] PART 3

Описание к видео Zingatia Sana Freepik Guidlines to Start Earning Money - Step by Step [ in Swahili ] PART 3

Jinsi ya Kuunda Freepik Contributor Account na Kujaza Taarifa Zako Sahihi Kwenye Freepik ili Kuanza Kulipwa [ kwa lugha ya kiswahili ]

Karibu kwenye video yetu ya leo! Here, we’ll show you hatua kwa hatua jinsi ya ku-create Freepik contributor account na kuanza earning more money in 2025. With a Freepik contributor account, utaweza kushare your creative work like icons, vectors, and photos na kupata malipo unapoweka kazi zako on the platform. Learn tricks za kuongeza kipato chako na jinsi ya kufanikiwa kama mchangiaji wa Freepik!

COMMENT, MAONI NA MAPENDEKEZO

Whatsapp: +255768871714
instagram: @gezzagraphix
Freepik: @gezzagraphix

Don’t forget: Like, comment, na subscribe kwa more tutorials kama hizi.
#Jinsiyakutumiafreepik #jinsiyakufunguafreepikakaunti #freepik #freepikcontributor

Комментарии

Информация по комментариям в разработке