01a Mungu; (Sifa za Mungu) Madaraja ya Kumfikia Mungu.

Описание к видео 01a Mungu; (Sifa za Mungu) Madaraja ya Kumfikia Mungu.

Karibu katika somo hili. Ndugu Jeff anafundisha juu ya sifa zake Mungu. Unaweza kujifunza kuhusu Utatu wa Mungu na Ukuu wake. Tunashindwa kumfahamu Mungu kwa ukamilifu kwa sababu yeye ni kubwa kuliko uwezo wetu kufahamu lakini hata hivyo hayuko mbali na sisi. Bali anataka tujifunze zaidi kumhusu.

Mafundisho haya yanaendana na masomo yanayopatikana katika Kozi ya Maji ya Uzima inayoitwa Madaraja ya Kumfikia Mungu.
Kwa maelezo zaidi kuhusiana na masomo haya au kujiunga na kozi wasiliana nasi kupitia
Barua pepe: [email protected]
Simu: +255754 490 549 / +255694 298 395 / +255719 275 767

Комментарии

Информация по комментариям в разработке