Mamajusi Choir Moshi - Nimelala kwenye jiwe (Yakobo)

Описание к видео Mamajusi Choir Moshi - Nimelala kwenye jiwe (Yakobo)

Mapito ya wenye haki ni mengi sana
Lakini hututetea kwayo, tunasonga mbele

Usinione nateseka, usinione napita kwenye moto
Nimelala kwenye jiwe kwa muda, kesho nasonga mbele.

Usifurahie adui zangu, juu ya mapito yangu
Nimelala kwenye jiwe tu, kesho nasonga mbele

Комментарии

Информация по комментариям в разработке