UBAYA WA HUSDA

Описание к видео UBAYA WA HUSDA

Khutba hii ilitolewa na Sheikh Nurdeen Kishk Masjid Ihsaan Maarufu Veternary Temeke Mwaka 2010, mada inayagusa maisha yetu ya kila siku katika kazi zetu biashara pamoja na neema mbalimbali Mola alizowajaliya waja wake, Husda ni nini fatilia mada hii hadi mwisho upate kuelimika, pia tunaomba msambaze kwa wingi ujumbe huu na Allah atawalipeni InshaAllah.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке