Vazi la wanawake wa Kimaasai

Описание к видео Vazi la wanawake wa Kimaasai

Tuangazie kidogo kuhusu utamaduni wa wamaasai haswa vazi maalum la wanawake ambalo aghalabu wao huvaa shingoni. Umuhimu wake ni upi? Veronica Natalis anasimulia zaidi. #kurunzi

Комментарии

Информация по комментариям в разработке