SHUHUDIA Karate Ambazo Unaweza Kupambana na Mhalifu Yeyote

Описание к видео SHUHUDIA Karate Ambazo Unaweza Kupambana na Mhalifu Yeyote

Subscribe    / uwazi1  
Kampuni ya Shorinji ambayo inahusika na uchezaji wa karate imetoa mustakabali mzima wa karate ikiwa lengo ni kupambana na kitu chochote ambacho kinakukabili.

Pia shorinji imewaomba watu kujitokeza kushiriki mchezo kutokana na inasaidia kwa mazoezi binafsi ya mwili na kujiweka fiti kukabiliana na purukushani yoyote.
   / uwazi1  
   / uwazi1  
   / uwazi1  
WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/
FACEBOOK:   / globalpublis.  .
TWITTER:   / globalhabari  
INSTAGRAM:   / globalpubli.  .

Комментарии

Информация по комментариям в разработке