ASKOFU MKUU PHAMT NKUMBU NAZARETH MWALYEGO | MALENGO MAKUU 12 YA KANISA KIMKAKATI - MWAKA 2021—2030

Описание к видео ASKOFU MKUU PHAMT NKUMBU NAZARETH MWALYEGO | MALENGO MAKUU 12 YA KANISA KIMKAKATI - MWAKA 2021—2030

Askofu Mkuu wa makanisa ya Pentecostal Holiness Association Mission Tanzania (PHAMT) akielezea MALENGO MAKUU 12 YA KANISA KIMKAKATI yanayotakiwa yatimizwe ndani ya miaka hii 10 yaani kuanzia 2021 hadi 2030.

Ametoa maelezo kwa ufupi wakati akihudumu katika mkutano mkuu wa wamama kitaifa (WIHA) akielezea kipengele cha malengo makuu 12 ambayo yapo ndani ya kitabu cha MWONGOZO WA MKAKATI huo.

PHAMT - Pentecostal Holiness Association Mission Tanzania
WIHA - Wanawake wa Injili Holiness Association

Karibu usikilize kupitia YouTube akaunti ya:
@PHAMT ONLINE TV
‪@phamtbethlehemtv3015‬
‪@phamtjerusalemdodomatv6703‬

Комментарии

Информация по комментариям в разработке