EXCLUSIVE: KOCHA AELEZEA SIRI YA MBEYA CITY | GEITA GOLD, AZAM TV YATAJWA

Описание к видео EXCLUSIVE: KOCHA AELEZEA SIRI YA MBEYA CITY | GEITA GOLD, AZAM TV YATAJWA

KOCHA AELEZEA SIRI MBEYA CITY | GEITA GOLD, AZAMU TV YATAJWA
UMOJA ULIOKOA MBEYA CITY ISISHUKE DARAJA TULIPAMBANA KUZUIA MPASUKO KWENYE TIMU HASA KWA KUTORUHUSU WACHEZAJI MUHIMU KUONDOKA KAMA AMBAVYO IKITOKEA HASA ZAMAN TIMU ILIKUWA INASAJILI WACHEZAJI WENGI HADI 15 KWA MSIMU KATI YA 30 VIONGOZI WALITUSAPOTI PALE TULIPOOMBA WACHEZAJI MUHIMU WASIONDOKE ZAIDI TULIMPOTEZA DENIS KIBU PEKEE NA SISI KAMA BENCHI LA UFUNDI TULIBAINI HAYO NA KUYAFANYIA KAZI

#azamtv #geitagold #mbeyacity

Комментарии

Информация по комментариям в разработке