Magoli | Simba SC 4-1 Geita Gold | NBC Premier League 21/05/2024

Описание к видео Magoli | Simba SC 4-1 Geita Gold | NBC Premier League 21/05/2024

Simba SC imepata ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Geita Gold FC, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa leo Azam Complex, Chamazi.

Geita walitangulia kwa goli la Geofrey Julius dakika ya 11, kabla ya Simba kusawazisha dakika ya 45 kwa penati ya Saidi Ntibazonkiza ambaye pia alifunga la pili dakika ya 72 kwa free-kick.

Aliyekamilisha mabao mawili ya mwisho ni Ladaki Chasambi dakika ya 86 na 90.....

Haya hapa magoli...

Комментарии

Информация по комментариям в разработке